Biashara ya Madini

Biashara ya Madini

Nyam

Senior Member
Joined
Jul 9, 2012
Posts
134
Reaction score
72
Wanajf habari, mi nataka kujua wanunuzi hasa wa madini ni wakina nani au ni wapi kwa maana kuna ndugu yangu ana madini aina ya Mekyuri ya maji nyekundu na nyeupe kutoka Morogoro anatafuta wateja wa kuwauzia..Kwa yeyote anayejua swala hili anijuze tafadhali, mimi nipo Dar es salaam.
 
Oya mwana nitafute 0787999851
 
Acha uongo mercury haipatikani kiivo na inatafutwa sana sio kitu cha kuulizia soko tuwe macho!
 
Jambo usilolijua ni kama usiku wa kiza....Kama haikuhusu kaa chonjo..
 
Back
Top Bottom