Biashara ya mafuta ya ubuyu

chigwiye

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2010
Posts
352
Reaction score
59
Jamani nauza mafuta ya ubuyu, mwenye kuhitaji au ajuaye soko lake mahali lilipo awasiliane nami ktk 0787891477. Matumizi na faida ya mafuta ya ubuyu zinafahamika,hasa kwa wenye HIV na inatibu kabisa kisukari na kupooza
 
mkuu, bei gani hayo mafuta , unauza kwa lita au kipimo gani? please
 
Jamani nauza mafuta ya ubuyu, mwenye kuhitaji au ajuaye soko lake mahali lilipo awasiliane nami ktk 0787891477. Matumizi na faida ya mafuta ya ubuyu zinafahamika,hasa kwa wenye HIV na inatibu kabisa kisukari na kupooza

Kuwa mbunifu, usichukulie kila mtu anayesoma hapa jukwaani anajua faida zake... mimi nakushauri uelezee faida zake ili uweze kupata pia soko la wale ambao bado hawajui faida za mafuta ya ubuyu. Usipoeleza faida zake hapa jukwaani utakuwa umejizibia riziki na utabaki na wateja wanaozijua kwa sasa tu!

Ni mtizamo na ushauri tu... ukipenda waweza kuufuata, usipopenda upotezee
 
Jamani nauza mafuta ya ubuyu, mwenye kuhitaji au ajuaye soko lake mahali lilipo awasiliane nami ktk 0787891477. Matumizi na faida ya mafuta ya ubuyu zinafahamika,hasa kwa wenye HIV na inatibu kabisa kisukari na kupooza

nnaule mwaha? ale sande, mwenecho simkumanyile abt upera uses. nimeona south africa wanauza US$ 17.00 for 11 ml We look at Baobab oil and its uses.
 
Baobab oil is known for the following beauty benefits:

Skin softening

Skin restructuring
Baobab Oil Organic
Quick absorption

Improves elasticity of the skin

Encourages regeneration of cells

Do no clog skin pores

The essential fatty acids contribute towards maintaining a healthy skin

Superb moisturizing benefits for skin and hair

It is a non-siccative (non-drying) oil

Topical application can help alleviate various skin disorders such as chronic dry skin, thin skin, chronic brusing and sun spots. Antioxidant and nourisher. Improve skin elasticity and epiderming softening .
 
ukigoogle baobao oil utapata kazi ya hayo mafuta.
 
Je haya mafuta yanaweza kusaidia huu ugonjwa wa ngozi? eczema (sifahamu jina la kiswahili).
 
Naomba msaada wa soko la uhakika la nje na ndani nchini la MAFUTA YA UBUYU;
na mazao yote yatokanayo na mti wa Mbuyu NK
 
Wadau,
kiasi chochote cha mazao ya mti wa Mbuyu unapata !

Bidhaa zote za ubuyu nk utapata kiofisi.

Mawasiliano ni-PM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…