msaada nataka niagize gari kutoka japan na nimelchagua gari kutoka tradecarview.com,naomba ni bank ipi nzuri inaoweza kusafirisha fedha au ulipaji asante

Benki nyingi nimeona zikifanya hii, ila mara nyingi utaambiwa ufungue akaunte nao ili kurahisisha utumaji wa TT. Niliwah lipa kupitia nbc bila shida yoyoye. This june nimelipa kupitia Exim bila shida.