Wakuu poleni na majukumu.
Kwa mwenye uelewa wa hii biashara ya kuuza magodoro anipe mwongozo.
Mtaji angalau kiasi gani cha kuanzia?
Faida yake ikoje?
Changamoto zake vp?
Viuzwavyo pamoja na magodoro yaani unaweza kuuza kitu gani ndani ya duka hilo kama eneo linaruhusu?
Magodoro yapi yanauzika?
Msaada wenu Tafadhali.