Biashara ya magodoro

Biashara ya magodoro

mkonowapaka

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2010
Posts
1,492
Reaction score
768
Habari wakuu,

Nafikiria kuanzisha biashara ya kuuza magodoro ya kutengenezea sofa sets n.k yasiyo na cover ...nimetarget eneo la keko hapa Dsm...naomba input mbili tatu kwa wenye uzoefu na hii biashara.
 
Back
Top Bottom