mkonowapaka JF-Expert Member Joined Feb 19, 2010 Posts 1,492 Reaction score 768 Oct 21, 2014 #1 Habari wakuu, Nafikiria kuanzisha biashara ya kuuza magodoro ya kutengenezea sofa sets n.k yasiyo na cover ...nimetarget eneo la keko hapa Dsm...naomba input mbili tatu kwa wenye uzoefu na hii biashara.
Habari wakuu, Nafikiria kuanzisha biashara ya kuuza magodoro ya kutengenezea sofa sets n.k yasiyo na cover ...nimetarget eneo la keko hapa Dsm...naomba input mbili tatu kwa wenye uzoefu na hii biashara.