Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtaji wako ni sh ngapi kwanza? Maana biashara ya mazao ili uione faida lazima uwe na mtaji mkubwa kiaina.wakuu heshima zenu
mm ni mkazi wa dar ...niko Arusha nikifatilia soko la maharage ya njano aina ya GOROLI.....lengo ni kununua maharage arusha na kuuza Dar
watalamu naomba kujua changamoto za hii biashara
natanguliza shukran
Biashara ya mazao huwa haifeli kikubwa uwe mjanja tu.Wakuu heshima zenu
Mimi ni mkazi wa Dar ...niko Arusha nikifatilia soko la maharage ya njano aina ya GOROLI.....lengo ni kununua maharage Arusha na kuuza Dar
Watalamu naomba kujua changamoto za hii biashara.
Natanguliza shukrani.
Epuka madalali, kama mzigo ni mkubwa fanya mtandao wako mwenyewe ili kupata faida itakayo lipa gharama zako. Mazao huwa yana faida ndogo hivyo epuka mnyororo mrefu wa hawa mtu kati.Wakuu heshima zenu
Mimi ni mkazi wa Dar ...niko Arusha nikifatilia soko la maharage ya njano aina ya GOROLI.....lengo ni kununua maharage Arusha na kuuza Dar
Watalamu naomba kujua changamoto za hii biashara.
Natanguliza shukrani.
Biashara ya mazao huwa haifeli kikubwa uwe mjanja tu.
Jitahidi sana kufanya price forecasting mazao huwa yanafluctuate sana bei hasa kipindi cha mavuno.
Bei inaanza kuwa nzuri kuanzia mwezi August mpaka February kwa mazao mengi bei huwa rafiki kwa mkulima na mfanyabiashara.
Ila kwa Maharage pamoja na bei yake kutobadilika kwa kiwango kikubwa huwa hayashuki sana na ya kupanda sana huwa ni muda mfupi wa miezi miwili tu au mitatu.
Ukipata wateja wakubwa kama last consumer utapata faida ila siyo kwa madalali.
Ulishapata mzigomim niko Dar Kigamboni kama yakiweza kunifikia nanunua kilo sh 1800 [emoji1545]
Kwanza wazo la biashara ni zuril Lakini ulitoka Dar kuja Arusha bila kuw ana taarifa za awali kama vile maharagae hayo yanapatikana Arusha sehemu gani, na kwa bei gani kwa gunia? Vile vile kama kuna gharama zingine mfano, tozo za Halmashauri kama zipo.Wakuu heshima zenu
Mimi ni mkazi wa Dar ...niko Arusha nikifatilia soko la maharage ya njano aina ya GOROLI.....lengo ni kununua maharage Arusha na kuuza Dar
Watalamu naomba kujua changamoto za hii biashara.
Natanguliza shukrani.
MIMI nipo MAKAMBAKO maharagwe aina zote yapo kwa yule anae hitaji anitafute kwa no 0737263867.Maharage ya soya yanayapiga bao......nilijaribu hayo ya njano wanasema yanatoka Arusha sikuyapenda sana..
VIPI MM NIPO MAKAMBAKO na ni soko kubwa sana katika biashara ya mazao hasa Maharagwe,mim niko Dar Kigamboni kama yakiweza kunifikia nanunua kilo sh 1800 [emoji1545]
MAHARAGE YAPO MAKAMBAKO NDUGU, MSIMU WAKE HASA AINA ZOTE ZA MAHARAGE YANAPATIKANA,KARIBU MKUU 0737263867Wakuu heshima zenu
Mimi ni mkazi wa Dar ...niko Arusha nikifatilia soko la maharage ya njano aina ya GOROLI.....lengo ni kununua maharage Arusha na kuuza Dar
Watalamu naomba kujua changamoto za hii biashara.
Natanguliza shukrani.
Mbna huweki bei kwa kilo moja bei gani?Jamani napenda Kukuambieni Karibu katika Bishara ya Maharage ni biashara nzuri sana na hautajuta kuwekeza katika biashara hii mana ina faida sana risk yake ni ndogo ukilinganisha na biashara nyingine.
Hata kwa wale wanao hitaji kufikishiwa mzigo Dar, Dodoma na popote tunaongea...Ila ni vema ukafuata zaidi ukaja hata mara moja.
Nipo MAKAMBAKO CONTACT 0737263867 Karibu ndugu
View attachment 2111522
View attachment 2111523
View attachment 2111524
mkuu , ulifanikiwa kuanza hii Biashara ya maharage ? Maana Nina wazo hili piaWakuu heshima zenu
Mimi ni mkazi wa Dar ...niko Arusha nikifatilia soko la maharage ya njano aina ya GOROLI.....lengo ni kununua maharage Arusha na kuuza Dar
Watalamu naomba kujua changamoto za hii biashara.
Natanguliza shukrani.
Uko wapimkuu , ulifanikiwa kuanza hii Biashara ya maharage ? Maana Nina wazo hili pia