A love Member Joined May 17, 2021 Posts 93 Reaction score 119 Jun 24, 2021 #1 Habari zenu, kwa wale wafanyabiashara wa maharage, mnatumia nini kupima maharage mnapouza kwa wazaji wa rejareja?
Habari zenu, kwa wale wafanyabiashara wa maharage, mnatumia nini kupima maharage mnapouza kwa wazaji wa rejareja?
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 52,160 Reaction score 48,974 Jun 24, 2021 #2 Wareja reja kivipi, kilo zipo
A love Member Joined May 17, 2021 Posts 93 Reaction score 119 Jun 24, 2021 Thread starter #3 Mtoto halali na hela said: Wareja reja kivipi, kilo zipo Click to expand... Wakati wa kuuza ni mizani gani inayotumika kupima maharage
Mtoto halali na hela said: Wareja reja kivipi, kilo zipo Click to expand... Wakati wa kuuza ni mizani gani inayotumika kupima maharage
Deo Corleone JF-Expert Member Joined Jun 29, 2011 Posts 17,006 Reaction score 13,281 Jun 27, 2021 #4 A love said: Wakati wa kuuza ni mizani gani inayotumika kupima maharage Click to expand... Si mizani za kawaida au unamaanisha nini
A love said: Wakati wa kuuza ni mizani gani inayotumika kupima maharage Click to expand... Si mizani za kawaida au unamaanisha nini
Papaa Gx JF-Expert Member Joined Oct 10, 2016 Posts 11,097 Reaction score 17,929 Jun 27, 2021 #5 Mizani kama mizani A love said: Wakati wa kuuza ni mizani gani inayotumika kupima maharage Click to expand...
Mizani kama mizani A love said: Wakati wa kuuza ni mizani gani inayotumika kupima maharage Click to expand...