Nyam
Senior Member
- Jul 9, 2012
- 134
- 72
Habari wana JF, Nategemea kuvuna mahindi hivi karibuni (Tanga),ningependa kuja kuyauzia Dar kwa gunia ila sijafahamu soko lake likoje na wanunuzi hasa ni wakina nani..Kiujumla sijui pa kuanzia kwa ajili ya hii biashara yangu. Pia sijafamu hapa Dar gunia litanunuliwa kwa kiasi gani.
Maisha magumu mana nimemaliza chuo kikuu mwaka juzi, baada ya kuona ugumu wa ajira niliamua kwenda kijijini ili nitafute shamba nilime na nimefanikiwa kulima mahindi, kipindi cha mavuno kimewadia ndo mana nimeamua kurudi kwenu naamini sitatoka patupu.
Kwa sasa naishi hapahapa Dar es salaam.
Natanguliza shukrani zangu za dhati.
Ahsante.