Habari zenu wana janvi, ninamtaji wa 5 million na nataka kufanya biashara ya mahindi ktk msimu huu wa mavuno, kwa mwenye uelewa mzuri na biashara hii naomba kujua mwenendo wake ktk mikoa ya Katavi, Dodoma, Iringa na Mbeya. Mpango wangu ni kukusanya kutoka vijijini na kuleta mjini yaani Centre za vijij hvyo kama wilayan au mkoani. Ahsanteni sana kwa ushirikiano wenu na Mungu awabariki