Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uko mbeya na hujui wapi kwa kupata mahindi bei nafuu hebu uliza jirani hata watatu hapo lazima utapata jibuMm ni kijana nataka nianze kujumua mahindi kwa wakulima na kuweka gengeni kwangu niuze rejareja niko mkoa was mbeya tatizo langu in wapi kwa kuyapata ambapo yatakuwa kwa bei nafuu
We unataka WAKUJUMLIE kiasi gani?Tatizo niko apa town ambako bei ya kujumlia ni 5000 kwa plastic sasa mtaji wangu no mdogo sana ko nilikuwa nataka nijue sehemu yenye uafadhali
4000We unataka WAKUJUMLIE kiasi gani?