Biashara ya mahindi

mahindi97

Member
Joined
Nov 10, 2018
Posts
67
Reaction score
89
Mm ni kijana nataka nianze kujumua mahindi kwa wakulima na kuweka gengeni kwangu niuze rejareja niko mkoa was mbeya tatizo langu in wapi kwa kuyapata ambapo yatakuwa kwa bei nafuu
 
Mm ni kijana nataka nianze kujumua mahindi kwa wakulima na kuweka gengeni kwangu niuze rejareja niko mkoa was mbeya tatizo langu in wapi kwa kuyapata ambapo yatakuwa kwa bei nafuu
Uko mbeya na hujui wapi kwa kupata mahindi bei nafuu hebu uliza jirani hata watatu hapo lazima utapata jibu
 
Tatizo niko apa town ambako bei ya kujumlia ni 5000 kwa plastic sasa mtaji wangu no mdogo sana ko nilikuwa nataka nijue sehemu yenye uafadhali
 
Tatizo niko apa town ambako bei ya kujumlia ni 5000 kwa plastic sasa mtaji wangu no mdogo sana ko nilikuwa nataka nijue sehemu yenye uafadhali
We unataka WAKUJUMLIE kiasi gani?
 
Mzee unataka ujumue mjini wakati kila mtu mfanya Biashara.... Nenda songwe huko ndo utapata debe elfu nne
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…