Biashara ya mahindi

Comex

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2019
Posts
481
Reaction score
621
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyoonyesha naomba kujua hivi haya mahindi mabichi ya kuchoma na kuchemsha wanayouza barabarani wanayanunua wap endapo ukiwa Dar na kwa bei gani?

 
Kuna jamaa maeneo ninayoishi hapa amelima mahindi na anauza kwa 1000 mahindi matatu.
Ukiweza njoo uchukue mzigo shambani.
 
Kuna jamaa maeneo ninayoishi hapa amelima mahindi na anauza kwa 1000 mahindi matatu.
Ukiweza njoo uchukue mzigo shambani.
Ni maeneo gan???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…