Biashara ya Mahindi

Biashara ya Mahindi

gwami g

Member
Joined
Dec 16, 2013
Posts
19
Reaction score
1
Wandugu nahitaji sana mfanyabiashara anaeuza Mahindi,awe ananiletea mashineni kuanzia tani 5 na kuendelea,nipo Dodoma
 
Wandugu nahitaji sana mfanyabiashara anaeuza Mahindi,awe ananiletea mashineni kuanzia tani 5 na kuendelea,nipo Dodoma

Weka offer Yako vizuri kiongozi.
Kwa bei gani ? Mawasiliano Yako je?
 
naweza supply kwa kg tzs 830 lakini kuanzia ton 10 kwenda juu
 
Ooh sory f offer haikua inaeleweka,bt bei maelewano,mwenye mahindi ndie aweke bei yake au atumie namba hii kuwasiliana nami,
0714 664 361
 
Back
Top Bottom