sonofobia
JF-Expert Member
- Jun 21, 2015
- 1,171
- 4,295
Kama unataka kutoka bila kutumia nguvu nyingi sana basi fanya hii biashara. Yani biashara ya kuandaa events kama za harusi za mtaani, maulidi, kipaimara, vigodoro, misiba nk.
Unachotakiwa ni kuwa na turubai kubwa la kupanga, viti vya kutosha,meza kadhaa,mikeka, masinia,sahani na mapambo kidogo utapiga hela kila siku hapa Dar es salaam."
Jamani haya maneno niliambiwa na bro mmoja juzi tukiwa tunabadilishana mawazo Barber shop sasa akunifafanulia vitu vingi alisema ndio biashara yake kajenga,kaninua gari mbili moja ya kutembelea na nyingine ya kubebea mizigo yake.
Ombi;
Naomba mwenye uelewa na hii biashara anipe mwanga inakuwaje mtaji kwa anaeanza ,masoko yake unapataje, risk zake zipoje, na faida yake unaitengezaje.
Nitashukuru sana wanajamiiforum