Mashudu Ya Alizeti yana kazi nyingi sana, Na Moja wapo ni Kutengenezea BREAK SHUZI ZA MAGARI, Ila Kenya ndo wanatumia kutengeneneza hizo, Ila Vilevile Ukiwa na Mitamboa Mikubwa kabisa unaweza ukawa unanunua Mashudu ya alizeti na kuyakamua tena, Mashine nyingi zinakammua kwa kiwango cha hadi 70% Mfano Kwa Arusha Mout Meru Milers ana Mitambo ya Kukamua Mashudu na kutoa Mafuta tena, so hununua mashudu na kuyakamua tena kabla ya kuyauza