Biashara ya mashudu ya pamba

Biashara ya mashudu ya pamba

BabaKasheshe

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2012
Posts
211
Reaction score
45
Salama wana JF. Ninategemea kuingia katika biashara ya kuleta mashudu ya pamba ( cotton cake) toka kanda ya ziwa, kwa wale wanaotengeneza vyakula vya mifugo. Ilikujua ni kiasi gani niwe naleta nahitaji msaada wa JF. Naomba kwa wale wanaohitaji/watakaohitaji wanijuze ili nimalizie buss plan . Au kwa mwenye ushauri wowote juu ya soko la cotton cake/shudu la pamba pia karibu sana. Asanteni sana
 
naomba kupata contacts zako tafadhali
 
soko lipo?
 
Back
Top Bottom