BabaKasheshe
JF-Expert Member
- Nov 7, 2012
- 211
- 45
Salama wana JF. Ninategemea kuingia katika biashara ya kuleta mashudu ya pamba ( cotton cake) toka kanda ya ziwa, kwa wale wanaotengeneza vyakula vya mifugo. Ilikujua ni kiasi gani niwe naleta nahitaji msaada wa JF. Naomba kwa wale wanaohitaji/watakaohitaji wanijuze ili nimalizie buss plan . Au kwa mwenye ushauri wowote juu ya soko la cotton cake/shudu la pamba pia karibu sana. Asanteni sana
soko lipo?Salama wana JF. Ninategemea kuingia katika biashara ya kuleta mashudu ya pamba ( cotton cake) toka kanda ya ziwa, kwa wale wanaotengeneza vyakula vya mifugo. Ilikujua ni kiasi gani niwe naleta nahitaji msaada wa JF. Naomba kwa wale wanaohitaji/watakaohitaji wanijuze ili nimalizie buss plan . Au kwa mwenye ushauri wowote juu ya soko la cotton cake/shudu la pamba pia karibu sana. Asanteni sana