Biashara ya Matairi

Biashara ya Matairi

Mavindozii

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2012
Posts
2,111
Reaction score
2,781
Ndugu wana great thinker,naomba kuuliza Kama kuna mtu ambaye anajua Nchi ambayo nitapata Matairi ya bei nafuu kwa jumla
Kwani January nataka kufungua sehemu ya kubadilisha oil,wheel alignment ,wheel balancers na tire changers,Niko Arusha,Na wapi nitapata
oil kwa bei ya jumla ,asanteni sana wana GT.
 
Mtafute mbunge wa viti maalum kupitia vijana anaitwa sara msafiri na munde tambwe watakuuzia matairi kwa bei rahisi
 
mtafute mbunge wa viti maalum kupitia vijana ana waaitwa sara msafiri na munde tambwe watakuuzia matairi kwa bei rahisi

wabunge wana kiwanda? Waache wafanye kazi waliyo tumwa na wananchi
 
Anga lia wateja wana penda oil zipi mfano gapco,bp nk ndiyo wa kuwaona kila laheli
 
kamanda AL SADAT asante sana kwa ushauri, vikao vya bunge si ndio vimeanza. Nitawapataje na wako CHAMWINO?
 
Back
Top Bottom