Biashara ya matangazo kupitia majarida

Background Check

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2019
Posts
341
Reaction score
498
Leo nitakuwa mtomvu wa nidhamu sitaanza na salamu kama nilivyozoeleka.

Swali langu:

a). Biashara ya magazine (majarida ya matangazo ya baishara) inaweza kufanyika kwa mtaji wa shilingi ngapi?

b). Ni nini cha kuzingatia kwenye hii biashara?

c). Rates za tangazo zinapatokana vipi?.


Kama kuna mtu anauzoefu na biashara hii naomba mwongozo tafadhali.


Machepele
Kwa sasa: Mwanza.
 
Itabidi umtafute anayefanya hivyo kibiashara. Mimi nimeifanya kama sehemu ya project tu kwa masoko ya wajasiriamali mtandaoni


Naona ulaya imeota mizizi zaidi lakini kibongobongo tunajikongoja.
Nimewahi kupewa kipeperushi lakini kilikuwa na bidhaa za mtengenezaji mmoja, na kingine ilikuwa ya duka moja tu

Labda tafuta niche yako halafu ndio uchunguze je? Wateja wanaweza kukulipa ngapi kwa mfano.
 

Attachments

Asante kaka nimeanza design
Hivyo ngoja nijaribu kutafuta wadau wa kuweka matangazo, na hii hapa cover page story ya jarida namba moja.


Machepele.


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…