Biashara ya Material ya Aluminium

Biashara ya Material ya Aluminium

dolevaby

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2013
Posts
12,958
Reaction score
9,516
Hostile kwenu wakuu...
Somo lahucka natagemea kupata pesa km 20ml mwishoni kwa mwa mwezi wa 5 so natamani kusafiri CHINA au DUBAI kufuata hayo material Lengo la kuja humu nataka kujua je kwa Pesa hiyo itatosha kujaza Contener la 20ft?,,,,Pia kati ya CHINA na DUBAI wapi kuna unafuu...nani mji gani naweza kwenda....nitashukuru pia nikijiua gharama za kusafirisha....Wandugu natanguliza shukrani nikiamini JF kila kitu kinawezekana Asante
 
Google maduka ya alumin ya huko nje watakupa detail zote hatakukutumia wanaweza.
 
Back
Top Bottom