Biashara ya matunda Buguruni ama Mabibo

Biashara ya matunda Buguruni ama Mabibo

nakwede97

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2021
Posts
946
Reaction score
2,478
Wapendwa habari zenu nina mtaji wangu kidogo nataka fanya biashara ya kuchukua parachichi na ndizi Moshi nije niuze kati ya hayo masoko hapa sina uzoefu wa hayo masoko ningependa nipate kasehemu kakuweka mzigo na kuuza reja na jumla

Msaada mwenye kufahamu
 
Back
Top Bottom