Anita Kajembe
JF-Expert Member
- Jun 29, 2021
- 215
- 487
Matunda yanalika sana, haijalishi dini wala kabila watu wote wanakula matunda. Biashara hii inahitaji uhakika wa usafiri ili uweze kuuza matunda yakiwa katika hali ya ubora.
Niliangalia documentary ya Wapakistan wanaotoka kwao kwenda kutafuta maisha Ulaya, wengi wanafanya biashara ya matunda sokoni na wameweza kuboresha maisha ya kwao Pakistan.
Rafiki yangu ana hoteli kadogo ya vyumba 25, ana mgahawa chini. Huwa anauza chakula kuanzia chai asubuhi. Huwa anaamka saa 11.00 alfajiri kuwahi gulio. Ananunua matunda ya shilingi 20,000. Anakata na kuyaweka kwenye sahani. Ananunua water melon, mapapai, ndizi, parachichi na machungwa. Huweka fruit salad kwenye fridge.
Anasema kuna wale wateja ambao ni lazima wale matunda, ni kila siku wanakwenda kula. Matunda ya 20,000 yanampatia laki mbili kwa siku.