Kiokotee
JF-Expert Member
- Mar 21, 2022
- 1,675
- 2,211
Mzoefu na hii biashara jamani nataka nianze,nipo location ambayo nahisi naweza kuanzisha;
1.Yanapatikana wapi kwa bei ya Jumla hapa Mwz au Dar.
2.Bei gani yanauzwa?
3.Utaratibu wa kukodisha upoje kwa wazoefu.
4.Pesa ninayo ya kutosha labda nipate uzoefu na changamoto za biashara haswa kwa wateja na eneo husika....Ahsante.