Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,478
- 3,659
Wadau naomba kuuliza. Hapa Dar kuna kampuni au mtu binafsi anafanya biashara ya kusafirisha maua nje ya nchi? Yaani florist. Au kuna biashara ya kusafirisha vipepeo hapa Dar? Mawazo yenu ni muhimu kwangu.