Biashara ya maua hapa Dar

Raia Fulani

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2009
Posts
11,478
Reaction score
3,659
Wadau naomba kuuliza. Hapa Dar kuna kampuni au mtu binafsi anafanya biashara ya kusafirisha maua nje ya nchi? Yaani florist. Au kuna biashara ya kusafirisha vipepeo hapa Dar? Mawazo yenu ni muhimu kwangu.
 
Unataka kujua namna ya kusafirisha au unataka kufahamu wanaosafirisha?
 
Unataka kujua namna ya kusafirisha au unataka kufahamu wanaosafirisha?

nahitaji kuwafaham wanaosafirisha. Nina kautafiti kadogo nakafanya, so itanisaidia sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…