Biashara ya maunda ( maembe)

Biashara ya maunda ( maembe)

DISLIKER

Member
Joined
Jul 29, 2023
Posts
43
Reaction score
39
Salaam alaikum wajumbe.

Jamani nilikuwa na wazo la kuanzisha kilimo Cha matunda hasa miembe ya kisasa na sababu zilizopelekea ni pamoja na kwambaa baada ya miti hii kukua ni rahisi sana kuiangalia sababu haihitaji uangalizi mkubwa hasa ikianza kustawi na kuzaa.

Sababu nyinginezo ni kwambaa nitakuwa more free kuendelea na shughuli nyinginezo pembeni na kilimo hiki Cha matunda hasa kipindi ambacho si Cha mavuno.

Naombeni MSAADA hasa kwa wenye uzoefu wa kilimo Cha matunda hasa miembe juu ya gharama na Miche Bora na pia faida .

Eneo nililotenga ni ekari 10 kwa ajili ya wazo Hilo . MSAADA WENU TAFADHALI
 
Wazo nzuri Miche ya miembe waweza enda SUA Moro, wanauzaga Miche Yao sio haizid elfu 3 ya mda mfupi.
Hiki ni kilimo kinzur especially Kama unauhakika na soko lako.
 
Wazo nzuri Miche ya miembe waweza enda SUA Moro, wanauzaga Miche Yao sio haizid elfu 3 ya mda mfupi.
Hiki ni kilimo kinzur especially Kama unauhakika na soko lako.
Shukrani mkuu kwa ushauri
 
Back
Top Bottom