Biashara ya max malipo

Rafiki kwa sasa kulingangana na biashara ilivyongumu ni heri kuomba pos za DCB bank nazo zinauza luku, dawasco, ving'amuzi na vocha wataanza soon, maxmalipo sasa hivi ukiweka flot kwenye pos yako 499999 unakatwa 700 zamani ilikuwa bure naulikuwa unauwezo wa kuweka hela yoyote sasa ni mwisho 499999 kwa muamala mmoja ukurudia unakatwa tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…