Biashara ya mayai ya kienyeji Singida ipoje?

ubalikiwe mkuu ngoja nitafakali upya...
Nenda vijiji vya ndani Ndago ndago huko,
Ila ningekushauri ununue kuku
Binafsi nilikuwa naagiza ya kula
Mara nyingine unakuta nusu ni mabovu

Hata mtaani watu wanachukia kuyanunua kwa sababu ya kuharibika upesi

Sent from my TECNO H5 using JamiiForums mobile app
 
ni kweli tatizo niko dsm chumba cha kipanga komoja hilo eneo la kifuga hao kuku ndio mtihani

Mayai ya kienyeji yana faida shida yake moja ymtu yanaharibika fasta so useme utoe singida uje uuze dar ni haiwezekani pambana ufuhe kuku hadi watage ukiweza pata matetea 50 hadi 70 hukosi hela ya kula

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent from my TECNO H5 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…