bface Senior Member Joined Dec 22, 2010 Posts 128 Reaction score 19 Dec 30, 2016 #1 Hello team, nahitaji kufanya biashara ya ununuzi wa choroko so ningependa kujua hasa msimu wa mavuno unaanza lini na ni mikoa ipi hasa choroko upatikana kwa wingi ili nianze kujipanga mapema, mwenye idea anisaidie
Hello team, nahitaji kufanya biashara ya ununuzi wa choroko so ningependa kujua hasa msimu wa mavuno unaanza lini na ni mikoa ipi hasa choroko upatikana kwa wingi ili nianze kujipanga mapema, mwenye idea anisaidie
Arsenalist1 Senior Member Joined Jul 13, 2015 Posts 163 Reaction score 50 Dec 30, 2016 #2 Mkoa wa Shinyanga unaongoza kwa zao Hili