Biashara ya mazao Dodoma

Tuo Tuo

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2013
Posts
678
Reaction score
1,202
Nipo Dodoma, nataka nianze kupga biashara ya karoti niwe naleta kutoka Mbeya. Kwa wateja,wanunuziau waliofanya biashara hii, ushauri tafadhari pia tunaweza peana contact kwa ajili ya biashara kuanza.

Kwa unachokijua kuhusu hilo unakaribishwa
 
Npo dodoma!!nataka nianze kupga biashara ya karoti!!niwe naleta kutoka mbeya!!Kwa wateja,wanunuzi,au waliofanya biashara hii ushauri tafadhari pia tunaweza peana contact kwa ajil ya biashara kuanza!!KWA UNACHOKIJUA KUHUSU HILO UNAKARIBISHWA
Peleka Dar na visiwa vya bahari ya hindi comoro, zenji na ushelisheli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…