Shukrani sana ndugu, Ila ishu ya kutumia meli ni ngumu mno kwa sababu inagharimu muda mwingi sana na Kuna risk ya mzgo kufika umeharikiba mfano hayo matunda hayapaswi kuzidi siku5 yawe yamefikaTafuta forwarding agent yeyote atakusaidia. Kuexport si complex sana kama watu wanavyofikiri..
Hakikisha una standard certification ya bidhaa unazotaka kuexport, pia ni vyema ukaenda nchi unayotaka kufanya biashara nayo ukajia standard zao zilivyo na taratibu zao za kuimport kutoka nchi nyengine.
Airline zipo nyingi na zinazotoka Tanzania kwenda nje zina nafasi kubwa tu. Ila ningekushauri kwa mizigo mikubwa tumia meli tu na refrigirated containers biashara ikichangamka
Tafuta green vegetable upeleke nchi za arabs. Nyama nyingi sana zinatoka brazilSiwezi pata fursa ya kupeleka nyama ya bata nnchi yoyote
Hiyoo connection sasa ndo mnipeTafuta green vegetable upeleke nchi za arabs. Nyama nyingi sana zinatoka brazil
Au maelekezo jinsi ya kupata connectionTafuta green vegetable upeleke nchi za arabs. Nyama nyingi sana zinatoka brazil
Mm mwenyew ningekuwa nayo ningefanya mwenyewe tuHiyoo connection sasa ndo mnipe
Siku hizi watu wanaogopa kujitengenezea competitors. Wanapata fursa, wanapiga ndio kwisha hiyo. Biashara inataka imani hasa.Mm mwenyew ningekuwa nayo ningefanya mwenyewe tu
Ila kama Hawa wa nje ni WA kuwatafuta hasa linked in. Unapata wateja wa kuanza naoSiku hizi watu wanaogopa kujitengenezea competitors. Wanapata fursa, wanapiga ndio kwisha hiyo. Biashara inataka imani hasa.
Boti? Boti boti au? Umesema boti ipeleke bidhaa nchi za kiarabu. Zipi hizo ulifikiria?Kuna siku niliwahi kufikiria Kwa Nini Bakhresa asinunue boti itakayoweza kutumiwa na wafanya biashara kupeleka matunda nchi za Kiarabu
Unajua haya mambo ya ndege wengine wanaona shida
Siwezi pata fursa ya kupeleka nyama ya bata