Biashara ya mazao ya kahawa na parachichi

Biashara ya mazao ya kahawa na parachichi

Joined
Apr 21, 2012
Posts
59
Reaction score
19
HESHIMA KWENU WAKUU

Nimekaa nikiwaza sana kuhusu biashara ya mazao haya mawili. Sasa naomba mwenye kufahamu uendeshaji wa biashara ya kununua na kuuza haya mazao mawili (kahawa na parachichi). Hasa kwa kuzingatia yafuatayo;

1. Sehemu ya kununua
2. Soko
3. Mtaji
4. Changamoto zake
5. Utaratibu wake kama kodi, vibali na ushuru.
Naomba kuwaailisha.
 
Back
Top Bottom