Mazao gani umefkiria kila zao lina mtaji wakeSwali ni fupi sana na nahitaji majibu mafupi kutoka kwa wadau wenye ufahamu/uzoefu na biashara hii.
SWALI- Ni mtaji wa kiasi gani ( MINIMUM) Unahitajika kuanzisha biashara ya kununua mazao ( nafaka ) mikoani na kuleta kuuza Dar.
Tafadhali zingatia kuwa nahitaji kujua mtaji wa chini kabisa wa kuanzia ( MINIMUM )
*Swali limeulizwa kwa niaba ya ndugu yangu, kijana wa mika 35
Ahsanteni.
Apo kuwa na kiwango cha milion 25 mpk usafiri , ila maharage nahisi ni juu kidogo apo tunaongelea kujaza gari tonne 32Mahindi, Mchele au Maharage
Hata gunia Moja mawili unaanza ni wewe tuu,,, Cha msingi uwe unawateja wa harakaSwali ni fupi sana na nahitaji majibu mafupi kutoka kwa wadau wenye ufahamu/uzoefu na biashara hii.
SWALI- Ni mtaji wa kiasi gani ( MINIMUM) Unahitajika kuanzisha biashara ya kununua mazao ( nafaka ) mikoani na kuleta kuuza Dar.
Tafadhali zingatia kuwa nahitaji kujua mtaji wa chini kabisa wa kuanzia ( MINIMUM )
*Swali limeulizwa kwa niaba ya ndugu yangu, kijana wa mika 35
Ahsanteni.
Unatoboa inategemea unataka biashara Gani!Bilaa million 50 hutoboi