Biashara ya Mbao na Katani

Biashara ya Mbao na Katani

bwanaharusi

Member
Joined
Jun 5, 2011
Posts
47
Reaction score
18
Jamani mimi nina mbao nyingi ambazo natafuta soko nje ya nchi.

Je kuna mtu anaweza kunioa connections?

Je market ya mpira ipo wapi?

Niko tayari kusikiliza na kujadili biashara na wadau mbali mbali
 
Kama ni teak mkuu ni PM nikupe deal..ila 10% ipo?( jus kidn)
 
Back
Top Bottom