B bwanaharusi Member Joined Jun 5, 2011 Posts 47 Reaction score 18 Sep 8, 2011 #1 Jamani mimi nina mbao nyingi ambazo natafuta soko nje ya nchi. Je kuna mtu anaweza kunioa connections? Je market ya mpira ipo wapi? Niko tayari kusikiliza na kujadili biashara na wadau mbali mbali
Jamani mimi nina mbao nyingi ambazo natafuta soko nje ya nchi. Je kuna mtu anaweza kunioa connections? Je market ya mpira ipo wapi? Niko tayari kusikiliza na kujadili biashara na wadau mbali mbali
Nduka JF-Expert Member Joined Dec 3, 2008 Posts 8,553 Reaction score 2,380 Sep 8, 2011 #2 Kama ni teak mkuu ni PM nikupe deal..ila 10% ipo?( jus kidn)