didy muhenga JF-Expert Member Joined Nov 8, 2022 Posts 861 Reaction score 1,476 Aug 25, 2024 #1 Wakuu habarini Nauza shamba la miti ya mbao ekari 4 lina jumla ya zaidi ya miti 2350 kwa bei ya kila mti 8,000 na midogo 6,000 kwaio jumla inakua 15milioni. Shamba lipo mafinga,Iringa.
Wakuu habarini Nauza shamba la miti ya mbao ekari 4 lina jumla ya zaidi ya miti 2350 kwa bei ya kila mti 8,000 na midogo 6,000 kwaio jumla inakua 15milioni. Shamba lipo mafinga,Iringa.
ngosha wa mwanza JF-Expert Member Joined Feb 23, 2015 Posts 3,832 Reaction score 11,964 Aug 25, 2024 #2 Sijaelewa vizuri ni kwamba unauza shamba na miti yake ama unauza miti tu .hebu weka sawa km hutojali...
Sijaelewa vizuri ni kwamba unauza shamba na miti yake ama unauza miti tu .hebu weka sawa km hutojali...
didy muhenga JF-Expert Member Joined Nov 8, 2022 Posts 861 Reaction score 1,476 Aug 25, 2024 Thread starter #3 ngosha wa mwanza said: Sijaelewa vizuri ni kwamba unauza shamba na miti yake ama unauza miti tu .hebu weka sawa km hutojali... Click to expand... miti pekee
ngosha wa mwanza said: Sijaelewa vizuri ni kwamba unauza shamba na miti yake ama unauza miti tu .hebu weka sawa km hutojali... Click to expand... miti pekee