Pendaelli JF-Expert Member Joined Feb 13, 2014 Posts 11,050 Reaction score 31,412 Mar 20, 2015 #1 Jamani nimepata wazo la biashara ya kutengeneza mbege na kuuza hapa morogoro mjini, ningependa kuomba mwenye kujua changamoto zake na hata jinsi ya kusajili biashara hio, shukrani kwenu.
Jamani nimepata wazo la biashara ya kutengeneza mbege na kuuza hapa morogoro mjini, ningependa kuomba mwenye kujua changamoto zake na hata jinsi ya kusajili biashara hio, shukrani kwenu.