Biashara Ya Mbogamboga Na Matunda

Edc Tz

Member
Joined
Apr 20, 2018
Posts
60
Reaction score
38
Wana JF Naomba msaada kwa wenye uzoefu na biashara hii, Mimi Naifanyia utafiti nianze kuifanya kwa mfumo wa rejareja yaani niwe na banda. Naomba nijuzwe ni mbogamboga zipi zinanunuliwa sana na zina faida nzurii na zinakaa muda gani bila kuharibika. Kiujumla naomba pia mrejesho kwa wanaoifanya biashara hii wameenzaje mpaka wakafanikiwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…