Biashara ya mbuzi na masoko

Biashara ya mbuzi na masoko

AgroVision

New Member
Joined
Aug 26, 2018
Posts
3
Reaction score
1
Habarini ndugu zangu,

Nataka kufanya biashara ya mbuzi. Ninaomba yeyote mwenye uzoefu na biashara hii anifunulie fursa za masoko na changamoto zake.
 
Kama unataka kununua nyama ya mbuzi, ng'ombe, kondoo ndani ya Dar ni PM
 
Kuna sehemu nilikuja maeneo ya Arusha panaitwa Lokii tukamkuta jamaa anachunga Mbuzi ni wake mwenyewe, ikawa kama tunaulizia tu aisee Mbuzi kama huyu ni bei gani, jamaa akasema huyo ni 30 na huyu ni 40 aisee tulishangaa sana. Huyo Mbuzi wa 40 kwa Dar huwezi kumpata chini ya 80 ikishuka saaaaana basi 70.

Niliitamani sana hii biashara japokuwa huyo ni mfugaji lakini huwa kunakuwa na mnada nafkiri ni kila siku ya Ijumaa japo sikuwahi kufika mnadani coz haikuwa Ijumaa na pia tulienda kwa ajili ya research na wanafunzi WA chuo.
 
Aliwaambia bei ya kiteto na mdolii sio pale lokii mbuzi wapo bei kidogo mimi huwa nafata kuku wa kula kidogo wapo vizuri na Wana radha kweli ya kuku wa kienyeji...mbuzi,kondoo wapo juu labda minada mingine.
 
No, hiyo bei aliyotupa haikuwa ya mnadani ni Mbuzi wake binafsi kiongozi...!
 
Back
Top Bottom