M Mull x New Member Joined Jun 26, 2022 Posts 1 Reaction score 0 Jun 27, 2022 #1 Habari wanandg natumai hamjambo, Nilkua nahitaji kujua na kujifunza kuhusu biashara ya kununua mbuzi na kupeleka viwandani. Nilkua naomba mwenye uzoefu wa biashara hii ani Pm au anaweza kujibu hapa tukajifunza wengi. Ahsanteni sana
Habari wanandg natumai hamjambo, Nilkua nahitaji kujua na kujifunza kuhusu biashara ya kununua mbuzi na kupeleka viwandani. Nilkua naomba mwenye uzoefu wa biashara hii ani Pm au anaweza kujibu hapa tukajifunza wengi. Ahsanteni sana
Tajiri Kichwa JF-Expert Member Joined Apr 2, 2017 Posts 9,021 Reaction score 22,016 Jun 27, 2022 #2 Kuna uzi humo humu. Ingia jukwaa la biashara utafute
S Sley Shabani Rashid Member Joined Dec 25, 2022 Posts 24 Reaction score 6 Jan 6, 2023 #3 Mull x said: Habari wanandg natumai hamjambo, Nilkua nahitaji kujua na kujifunza kuhusu biashara ya kununua mbuzi na kupeleka viwandani. Nilkua naomba mwenye uzoefu wa biashara hii ani Pm au anaweza kujibu hapa tukajifunza wengi. Ahsanteni sana Click to expand... 👊
Mull x said: Habari wanandg natumai hamjambo, Nilkua nahitaji kujua na kujifunza kuhusu biashara ya kununua mbuzi na kupeleka viwandani. Nilkua naomba mwenye uzoefu wa biashara hii ani Pm au anaweza kujibu hapa tukajifunza wengi. Ahsanteni sana Click to expand... 👊
Limbweni Member Joined Oct 3, 2019 Posts 66 Reaction score 77 Jan 7, 2023 #4 Kuna kiwanda kipo Soga kule Kibaha ebu nenda kaulizie Wananunua Mbuzi