Biashara ya mchanga wa madini (Gold Dust)

Zamazamani

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2008
Posts
1,869
Reaction score
787
Wajameni
Nimetonywa kuwa biashara ya mchanga wa kwenye machimbo ya madini inalipa kiasi fulani na ni halali....nimeanza kujenga interest baada ya kupewa some hints lakini nahitaji kujuzwa zaidi juu ya ukweli ulivyo kabla ya kuchukua uamuzi zaidi.Naomba kama kuna anaye fahamu anisaidie please kwa kuwa nataka kuinvest time and money kwenye hili...
 
usichokoze presha ya moyo wako. nakuonya. Pata potea.
 
Nakushauri uachane na biashara za madini kama mtaji ni wa kubangaiza, huko ni sehemu ambako utapeli ndo umejaa! Kuna jamaa mmoja namfahamu kafunga kiwanda chake cha kutengeneza tofali baada ya kuuziwa shehena ya mchanga feki uliodaiwa kuwa na almasi kwa Tshs. 30,000,000

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…