Kwani wewe mwenyewe unajua nini kuhusu hii biashara, kwa kuanzia.
Maana ni sawa na mtu kukurupuka usingizini ghafla akasema "nataka kuanzisha benki, niambieni inakuwaje washkaji."
Kama huijui haItolipa.............fanya utafiti wako mwenyewe mitaani sio humu JF...........kukusaidia MCHANGA uko aina nyingi.....kifusi? wa plaster? wakujengea? wa zenge? wa mbagala? wa bunju?..na je hili wazo ulilipata wapi? uliona wengine wakifanya au ni pipe dream yako?
Kwa msaada matafute mtu anaimbwa sana na Twanga anaitwa Nteze wa Nteze 0754 260750
Niko nje ya bongo ndo maana nafanya research kupitia humu. Mchanga nnaotarget ni ule wa kujengea nyumba na majengo mengine. Nina kamtaji kangu ndo maana nafikiria kukainvest huko. Ninaweza kupata eneo maeneo ya ruvu pwani.
Hii biashara sichangii...Imeharibu mazingira sana kwetu Makongo karibu na shule ya St Columbus na kibaya zaidi polisi na maafisa wa mazingira wanadaka chao wanaondoka yaani malori yanapishana kama kuna mgodi wa mchanga Mto Mbezi. Tunanjiandaa kuchukua sheria mkononi labda itasaidia.
hahaha, mi mwenyewe sichangii wala nini. Sijui huwa wanachimba bila utaratibu wa kueleweka. Mto mbezi wetu unazidi kuharibika.Hii biashara sichangii...Imeharibu mazingira sana kwetu Makongo karibu na shule ya St Columbus na kibaya zaidi polisi na maafisa wa mazingira wanadaka chao wanaondoka yaani malori yanapishana kama kuna mgodi wa mchanga Mto Mbezi. Tunanjiandaa kuchukua sheria mkononi labda itasaidia.