habari JF,
Mimi ni mhitimu chuo kikuu, na ajira ni tatizo kama mnavyojua
sasa nafiliria kuhusu kufanya biashara ya chakula kama MCHELE, UNGA, nitoe mbeya
nipeleke Dodoma, naomba ushauri wenu.
biashara ya nafaka na unga haimtupi mtu..kikubwa jipange kimtaji..pia jaribu kutafuta wafanya biashara wanaotoa mzigo huko uliko na kupeleka dodoma wakupe tips za jinsi wanavyofanya hiyo biashara..Mungu akutangulie.