Biashara ya mchele na maharage ;

Biashara ya mchele na maharage ;

stan john

Member
Joined
Feb 17, 2022
Posts
76
Reaction score
81
Habari,
Mimi ni mfanyabiashara , nina duka la rejareja( fremu) na store, nipo mabibo Dar

Nahitaji kununua Mchele na maharage kutoka mbeya, au tunaweza kufanya makubaliano ya kukuuzia maharage ,mchele n.k dukani kwangu

Uaminifu 100% ,
Njoo DM
Namba yangu 0788768480
Piga au tuma meseji.
Asanteni
 
Samahani mimi naomba nikutoe kidogo kwenye maada yako mkuu wewe ni mkazi wa mabibo hapo?

Au una fanya biashara tu. Kwanini usifanye biashara ya ndizi na viazi vya chips hapo mabibo sokoni nasikia vina toka sana.

Aa unaujua ukweli wa hii biashara? Kuna mzee alikua ana nishauri niingie kwenye biashara hii kwamba naagiza viazi kwenye fuso mfano gunia 120 au ndizi mikungu 300 au 200.. halafu unauza na madalali sokoni mabibo.

Mkuu kama una jua au ukweli wa hii kitu naomba u share hapa au yeyote anae fahamu atusaidie. Samahani kwa kubaka uzi wako ila naamini sote ni wale wale tina haha kutafuta njia inayo toa ili tufike nchi ya ahadi. [emoji120]
 
Mimi mkazi wa mabibo ..

Biashara ya ndizi na viaz vina soko kubwa sana mabibo sokon( mahakama ya ndizi)
Ukifika mabibo sokon na mzigo wako kutoka mkoani unapokelewa na madalali ,kama una gunia 200 za viaz utawambia madalal Nina gunia 200 nataka sh ..... Ndani ya Sikh 2 au 3 nataka pesa yangu unawakabidhi mzigo wanaaza kukuuzia
 
Sina mtaji ..
 
Daaah mkuu [emoji848] vipi kuhusu uaminifu isije kua wanoko waka kuzima na mtaji wako ikawa ndio kifo cha mende 🥲 maana wale pia ni watu na wameumbiwa tamaa pia
 
Biashara ya madalali ni hatari sana, uaminifu wake ukoje?
Mimi mkazi wa mabibo ..

Biashara ya ndizi na viaz vina soko kubwa sana mabibo sokon( mahakama ya ndizi)
Ukifika mabibo sokon na mzigo wako kutoka mkoani unapokelewa na madalali ,kama una gunia 200 za viaz utawambia madalal Nina gunia 200 nataka sh ..... Ndani ya Sikh 2 au 3 nataka pesa yangu unawakabidhi mzigo wanaaza kukuuzia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi mkazi wa mabibo ..

Biashara ya ndizi na viaz vina soko kubwa sana mabibo sokon( mahakama ya ndizi)
Ukifika mabibo sokon na mzigo wako kutoka mkoani unapokelewa na madalali ,kama una gunia 200 za viaz utawambia madalal Nina gunia 200 nataka sh ..... Ndani ya Sikh 2 au 3 nataka pesa yangu unawakabidhi mzigo wanaaza kukuuzia
Hii biashara ilinitia maskini bse ya madalali, mwanzo wa nakuwa waamini fu kweli, baada ya Muda wanasumbua, nshaleta mzigo wiki Tatu Dalali wanasumbua, huku shambani nimeacha wanakusanya vizazi na wanataka hela, Dalali kajifanya kafiwa, nikaenda kureport kwenye uongozi akawa wanamlinda.. Kweli biashara ya kutegemea dalali inachangamoto... Inabidi uwe mkorofi
 
Back
Top Bottom