Kama una millioni mbili na nusu inatosha kabisa mchanganuo no kama ifuatavyo mzani 150,000 , gharama ya kusafirisha mzigo(Mchele) wa kutosha kutoka kahama au mbeya 1,200,000 , fremu, kodi(TRA) na gharama nyingine 700,000. Anyway gharama nilizoweka ni makadirio ambapo kwa hiyo 1,200,000 inaweza kuchukua gunia za kilo hamsini kama ishirini hivi kutoka kahama(shinyanga)
Kilo ni shilling ngapi Arusha,nina tan kadhaa,na naweza pata shule kuwauzia mchele safi kabisa grade 1,I mean mbegu inayoitwa Zambia na faya dume zote kutoka Mbeya,ila hela ni cashKama una millioni mbili na nusu inatosha kabisa mchanganuo no kama ifuatavyo mzani 150,000 , gharama ya kusafirisha mzigo(Mchele) wa kutosha kutoka kahama au mbeya 1,200,000 , fremu, kodi(TRA) na gharama nyingine 700,000. Anyway gharama nilizoweka ni makadirio ambapo kwa hiyo 1,200,000 inaweza kuchukua gunia za kilo hamsini kama ishirini hivi kutoka kahama(shinyanga)