Tanzania hatuna bamboo farms, ila tuna misitu holela ya mianzi ambayo haina viwango. Ukienda sido mkoa dsm pale Pugu road, wameonyesha maeneo yenye mianzi ya fanicha ikiwemo Kigoma, Tukuyu na Makete. Kwa huku Lindi kuna eneo linaitwa Mavuji, kuna mianzi pori mingi.
Si ndo ile ndugu zangu wanyalukolo wanatengenezea ulanzi (wenyewe wanatamka ulaasi). Kama ni hiyo iko ya kutosha mitaa mingi ya Iringa vijijini, used to see them mitaa ya Tosa, Ipamba, Kalenga....