Biashara ya mifagio na taa

BradFord93

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2017
Posts
917
Reaction score
2,217
Kadri biashara inavozidi kuwa ndivyo nawaza kuongeza bidhaa zaidi

Nahitaji kuongeza bidhaa kama mifagio ile ya plastc na taa hizi za betri

Just naomba kujua wapi nitaweza kupata mifagio na hzo taa kwa bei ya jumla hasa maeneo ya k.koo....na kama inawezekana nipate na bei pia

Na pia kama nikipat Anayejua nnakoweza kupata mifagio ya chelewa ile mikubwa ntashukuru pia

Msaada wenu jaman...location na bei
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…