Biashara ya mifuko (viroba)

Winga dalali

Senior Member
Joined
Jul 20, 2021
Posts
196
Reaction score
265
Habari, zenu wanajukwaa poleni na majukumu pia kheri ya kuvuka mwaka.
Wanajukwaa nauliza sehemu ya kupata mifuko ya 25kg ile ya unga mfano wa azam, azania. Pia natafuta mifuko ya gunia nzito kwa jumla kwa Dar es Salaam.

Anayejua chimbo au bei anijuze. Plz mwenye kujua aandike na bei.
 
Nenda mitaa ya karibu na soko la Kariakoo wanalojenga hiyo ndio mitaa ya mifuko,
Kama unataka ile ya azam basi nenda pale ofisini kwao Tazara.
 
Unataka Viroba vingapi?? Na offa yako ni shi ngapi?
 

Umepata tenda ya biashara mgodini mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…