disturbanced
Member
- Oct 27, 2024
- 21
- 25
Naamini jf ni kisima cha maarifa humu wamejaa watu wengi sana kama kichwa kinavyojieleza naomba kujua muongozo wa biashara hii ikiwemo changamoto yake,machimbo ya jumla,faida yake lakini pia namna ya ufanyaji wake kiujumla.naomba kuwasilisha wakuu